Mashujaa Fm ni Radio ya lindi na katika kuendele kuwajali wasikilizaji wake wameanza ziara ya Burudani ndani ya Mkoa wa Lindi na Mtwara
Ijumaa ya Tarehe 28/7/2017 ni KIWALALA katika ukumbi wa Mtandao kutakua na Burudani itakoongozwa na Msanii wa Singeli Msaga Sumu
Jumapili Tarehe 30/7/2017 ni RUTAMBA katika uwanja wa Mpira
0 maoni:
Chapisha Maoni