West Brom imemsainisha Mshambuliaji wa Uingereza na Liverpool  Daniel Sturridge kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu.
Utakumbuka Vilabu vya Newcastle United na Miamba ya Seria A Inter Milan Walikuwa na Mpango Kumsajili Mchezaji huyo.
Sturridge amefunga Mabao 74 Katika Ligi kuu England katika Mechi 114 na 27 katika Vikombe mbali mbali,
Mapema Jumatatu West From wmemsajili Mlinzi wa Misri Ali Gabr kutoka Zamalek mpaka mwishon mwa Msimu

0 maoni:

Chapisha Maoni