Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovich yupo Karibu kujiunga na LA GALAXY .Mchezaji Huyo Raria wa Sweden atarejea Mazoezini wiki ijayo kufuatia majeraha


Mlinda mlango Joe Hart anampango was kuvunja Dili la mkopo kati take na West Ham Kabla ya Dirisha La Usajili kufungwa.Hart yuko west Ham kwa mkopo akitokea Manchester City,wakati huu amekuwa chaguo la pili chini ya Kocha David Moyes na anataka kurudisha sifa ya kuwa mlinda mlango mamba moja katika kikosi cha England katika Michuano ya Kombe LA Dunia.

0 maoni:

Chapisha Maoni