Klabu ya Chelsea imemalizana na mshambuliaji wa Arsenal, Oliver Giroud.

Giroud aria wa Ufaransa anabaki London kama alivyotaka, safari akiwa Chelsea baada ya klabu hiyo kulipa pauni million 18 kumnasa.


Mshambuliaji huyo analazimika kuondoka baada ya Arsenal kumsajili, Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund.



Wakati Huo kila kitu kimekamilika na mshambuliaji Michy Batshuayi ametua Borussia Dortmund.

Batshuay ametua Dortmund akimpisha nafasi Olvier Giroud ambaye amejiunga na Chelsea akitokea Arsenal alikompa nafasi Pierre-Emerick Aubameyang.


Batshuay mwenye umri wa miaka 24 amejiunga na Dortmund kwa mkataba wa miaka mitatu.

0 maoni:

Chapisha Maoni