Christian Eriksen alifunga bao sekunde ya 11 tu ya mchezo, bao la Eriksen ndio linakuwa bao la mapema zaidi kwa Manchester United kuwahi kufungwa katika ligi kuu ya EPL.
Lakini nlinzi wa Manchester United Phill Jines akijifunga bao lililoufanya mchezo kuisha kwa Tot kushindwa kwa bao 2 kwa 0 na sasa Tot wanakuwa wamefaidika kwa mabao 3 ya kujifunga ndani ya msimu huu.
 
Ushindi wa leo wa Tottenham mbele ya United unawafanya Tottenham Hotspur kwa mara ya kwanza baada ya miaka 52 iliyopita kuwafunga Manchester United katika michezo mitatu nyumbani kwao.

Wakati United wakifa, majirani zao Manchester City waliibuka na ushindi wa mabao matatu huku mabao ya leo yakiwafanya kuwa timu ya kwanza barani Ulaya kufunga mabao 100 msimu huu.
Mchezaji mpya wa Everton Theo Walcotta lifunga mara mbili wakati Everton ikiichapa Leicester bao 2 kwa 0 huku Chelsea wakiwa nyumbani wakakubaki kipigo cha mabao 3 kwa nunge toka kwa Afc Bournamouth.
 
Newcastle wakiwa nyumbani walilazimishwa suluhu ya bao moja kwa moja dhidi Burnley, Stoke City na Watford nao wakamaliza mchezo wao kwa sare ya kutokufungana.


0 maoni:

Chapisha Maoni